Ad Details
-
Ad ID: 16873
-
Added: 16th August 2023
-
Sale Price: On call
-
Location: Tanzania
-
State: Dar es Salaam Region
-
Phone: 0769285528
-
Views: 126
Description
Tuna uza na kukopesha viwanja mbagara chamazi mbande mbele ya uwanja wa mpira azam complex
No.0769285528
No.0788471521
Ni gar moja kutoka mjini mfano kariakoo nauli mia700 mpaka mbande magegen bajaji mia500 mpaka sait viwanja vilipo au boda elf1000 karibu sana viwanja vyote vimepimwa kisasa vina ati viko sehem nzur tambalale kumejengeka sana uduma zote za kijamii zipo kama
Maji
Shulee
Hospital
Umeme
Soko
Bara bara nzur ukubwa wa viwanja na bei
Fut30 kwa 50==lk900000
Fut40 kwa 50=ml.1200000
Fut50kwa50=ml1,500000
Fut60 kwa 60=ml1,80000
Na kwendelea kulingana na maitaji ya mteja pia una weza kulipa kwa hawam una weza kuanza na kidogo na nyingine uka endelea kulipa kidogo kidogo biashara zetu zina fanyika office za selikali zamitaa karibu sana ukaguwe kukagua nibure na Siku yoyote
Bids
BID Stats : 0 Bids posted on this ad
Let’s Create Your Bid
Only registered user can post offer *
Ad Price
On call