SOKO LA MTANDAO TANZANIA Jisajili na kuweka Matangazo BURE MILELE! 0677775000
classiera loader

Ad Details

  • Ad ID: 16668

  • Added: 13th August 2023

  • Sale Price: On call

  • Location: Tanzania

  • State: Dar es Salaam Region

  • Phone: 0769070711

  • Views: 136

Description

Tumeleta MULTIPURPOSE PRESSURE COOKER nzuri zaidi duniani.

Zimekuja za mtumba, used from DAEGU, SOUTH KOREA.

BRAND 👉 CUCHEN na CUCKOO.

Kwa mujibu ya mtandao ya ULAYA na USA 🇺🇸 , pressure cooker za CUCHEN na CUCKOO Zinaongoza kwa kuuza na kupendwa zaidi.

Zinashika namba 1 na 2 kwenye top 10 ya pressure cooker bora zaidi dunaini.

Sifa zake kubwa ni kuwa zinapika kwa haraka zaidi bila kukosea kama zingine.

Zinaongoza kwa kubana matumizi ya umeme dunaini. (Energy Saving A+++)

Zinachemsha MAHARAGE kwa dakika 25 TU.

Zina pika wali vizuri sana,zina option kama ukitaka wali wenye UKOKO na MATANDU kwa juu.

Zinapika vyakula vya aina nyingi kwa haraka.

Pia zina option ya kupika BABY FOOD 🤱 🍲

Wahi kabla HAZIJAISHA, Tunazo sisi tu.

Ni MTUMBA KIWANGO.

Bei 👉 120,000/=

DELIVERY 🚚 YES
MIKOANI TUNATUMA 🚍

WASAP OR 📞 0717575635
VODA 0769070711

Insta @used_from_germany

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

On call

classiera loader

Related ads

LIST YOUR BUSINESS TODAY!!