Ukweli kuhusu rupia ya simba mbili
: Antiques & Old Products/Malikale / Africa Old Coins & Notes : Kilimanjaro Region
Utapeli huo FREE
Ad Details
-
Ad ID: 16386
-
Added: 8th April 2023
-
Sale Price: Utapeli huo
-
Location: Tanzania
-
State: Kilimanjaro Region
-
Phone: 0677775000
-
Views: 211
Description
Ni utapeli, hakuna rupia ya mjerumani yenye simba wawili duniani. Ni imaginations. Wanayoitafuta ni matapeli waliofoji za kwao alfu wanatangaza inatafutwa kwa dau kubwa ili wauze hizo zao. Utainunua kwa bei ndogo ukauze zaidi lakini ukishainunua itabaki kuwa yako milele labda na wewe utaoelie MTU. Watu wamefilisika, wazee wamepoteza pensheni zao kwa kutafuta hewani kama hadidhi za hekaya za Abunuasi.
Take care. By Alan Malai
Bids
BID Stats : 0 Bids posted on this ad
Let’s Create Your Bid
Only registered user can post offer *
Ad Price
Utapeli huo