YCS COLLEGE OF AFRICA – MOSHI ( form4 ressiters, QT , form V na VI, Pre FormV.
Category : EDUCATION IN TANZANIA
YCS COLLEGE OF AFRICA-MOSHI Wale mabingwa wa kutoa Elimu Tanzania kwa zaidi ya miaka 20 sasa na kuwa daraja kwa watu wengi kufikia malengo yao YCS COLLEGE OF AFRICA tunakutangazia kuwa tumeanza kupokea wanafunzi kujiunga na kozi mbalimbali mwaka wa masomo 2021