day care school for sale
Category : Education
Nauza shule ya daycare na nursery ipo Arusha – Ngulelo mtaa wa Ngaranumbe Shule ina watoto 20 hadi sasa. gharama ya kodi ni 200,000 kwa mwezi. kwa yeyote alie interested tunaweza kuwasiliana ukaenda kupaona bila gharama yoyote. nitumie message kawaida am