Watengenezaji na Wauzaji wa Mahema / Tents / Maturubai
Category : Mechanical Engeneers
Sisi ni wataalamu wa kutengeneza Mahema ya aina mbalimbali kama vile ; Hema za sherehe, hema za camping kubwa na ndogo, car parking sheds n.k Pia tuna design na kutengeneza camping sites. Tunauza hema za mlimani na vifaa vyote vya utalii. Tunakodisha hema za a