Wauzaji wa viwanja Moshi
Category : Land for sale
Tunakuunganisha muuzaji wa kiwanja na mnunuzi wa kiwanja. Tunakagua eneo kuhakikisha ni salama kwa kununua, tunamsaidia mnunuzi kukuunganisha na wanasheria wa ardhi wakuandali mkataba sahihi. Tunalinda maslahi ya mnunuzi NA muuzaji pia