TUNAUZA DAGAA WALIO KAANGWA KUTOKA MWANZA
Category : Food Services
KALIBU TUKUUDUMIE tunauza dagaa wazuli ambao wamekaangwa vizuli na kufungwa kwenye packet dagaa wetu kutoka MWANZA ni wenye radha bombaa sana Kwa mulioko dar es salaam ukiagiza tunakuletea adi ulipo TUNAPATIKANA KINONDONI MTAA WA UFIPA STREET KALIBU NA PK BAR