Nishati Mbadala / Mkaa Mbadala
Category : BIO ENERGY
Tupo Toangoma Temeke.. Mkaa wetu ni Mkaa mbadara uliotengenezwa kwa kutumia vumbi la makaa ya mawe na kuondolewa sumu( hewa chafu) Mkaa huu unatengenezwa na shirika la madini la Taifa (STAMICO) ni salama kwa matumizi ya kupikia majumbani na kwenye Taasisi zeny