wauzaji wa fast charger original
Category : Electronics
Niliagiza FAST CHARGER ORIGINAL za SAMSUNG from DAEGU, SOUTH KOREA. Hii ni kwasababu charger NYINGI za hapa zilikuwa zinachelewa kuchaji halafu zinawahi kufa. Ndugu yangu, umenunua simu ya bei basi tumia CHARGER original za KOREA. Ebwana hizi CHARGER ziko fast