Wauzaji wa Unga bora wa Dona Na sembe kutoka Bodi Ya Nafaka Tanzania
Category : Agriculture/Kilimo
Nauza unga safi na bora uliozalishwa kwa kufuata kanuni za usafi na kuzingatia ubora wa hali ya juu. tunasambaza mikoa yote kwa bei nafuu sana. kwa wanaohitaji naomba tuwasaliane 0782525224 au 0652395624 karibu sana