wauzaji wa spare parts za magari
Category : Cars & Automotives
WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA SPARE PARTS TOKA JAPAN IKIWA WEWE MUHITAJI WA SPARE ZETU FIKA SASA ILALA MTAA SONGEA KARIBU UPATE KULITIBU TATIZO SUGU LA GARI LAKO UWE MBALI NA MKOA WA DAR ES SALAAM BAS TUNAKUFIKISHIA POPOTE ULIPO MZIGO UNAKUFIKIA BILA SHAKA NA UAMI