Ukweli kuhusu rupia ya simba mbili
Category : Africa Old Coins & Notes
Ni utapeli, hakuna rupia ya mjerumani yenye simba wawili duniani. Ni imaginations. Wanayoitafuta ni matapeli waliofoji za kwao alfu wanatangaza inatafutwa kwa dau kubwa ili wauze hizo zao. Utainunua kwa bei ndogo ukauze zaidi lakini ukishainunua itabaki kuwa y