wauzaji wa projector kutoka Germany
Category : Electronics
Tumeleta PROJECTOR 📽 kali. Zimekuja za mtumba, used from BREMEN, GERMANY 🇩🇪. Zipo brand 👉 EPSON na SONY. Projector zilizotumika GERMANY zina HD kali sana. Zinafaa kwa UNIVERSITY na MABANDA YA MPIRA ⚽. Zinaonyesha picha vizuri kuliko baadhi ya TV.