Nyumba inapangishwa Ubungo Kibo
Category : House &Flats forsale/rent
Vyumba viwil (kimoja master), sebule, na Jiko . . Nyumba Ipo Ubungo_Kibo umbali wa kutembea dakika 5 tu . . Kodi ni 200,000 tu . Ina tailiz, ndani ya fensi Ila sio ya kulaza gari . . Malipo ya dalali ni hela ya mwez mmoja (200,000) . . Service charge 10k, itad