Rupia yenye sumaku na miujiza
Category : Africa Old Coins & Notes
Utapeli huo. Hakuna sarafu yenye sumaku duniani. Wamefoji za kwao ili waziuze . usitafute, usifilisike, tafuta sarafu za kawaida ambazo zinauzwa Nunuauza.com ofisi zipo moshi posta. Na eBay.com