Moyo Kutanuka Chanzo, Dalili na Tiba
Category : Health & Medical
*Nini Maana Ya Moyo Kutanuka?* Moyo kutanuka kwa kitaalamu cardiomegally, maana yake moyo wako umekuwa mkubwa kupita kiwango cha kawaida. Moyo unatanuka pale misuli yake inapofanya kazi kupita kiasi mpaka inapanuka na kufanya chemba za moyo nazo kutanuka. Kumb