JINSI YA KUTENGENEZA KACHORI ZA VIAZI
Category : NAMNA YA KUPIKA
JINSI YA KUTENGENEZA KACHORI ZA VIAZI 📍MAHITAJI ➖Viazi (kilo Moja) ➖Kitunguu saumu(thomu) kijiko 1 Cha chakula ➖ Tangawizi Kijiko 1 cha chakula ➖Chumvi ( kijiko kimoja Cha chakula) ➖Pilipili ya kusaga ➖Ndimu 1 ➖Mafuta ya kupikia ➖Unga wa den