JINSI YA KUTENGENEZA ICE CREAM (ULE UJI WA JUU 🍦):
Category : JIFUNZE UJASIRIAMALI
JINSI YA KUTENGENEZA ICE CREAM (ULE UJI WA JUU 🍦): MAHITAJI: 1⃣Icing sugar vijiko 10 vya chakula. 2⃣Viini vya mayai 3. 3⃣Ladha yoyote kijiko 1 cha chakula. 4⃣Maziwa nusu lita (fresh milk). 5⃣Cream robo Lita. 👉JINSI YA KUTAYARISHA:- CHUKUA BAKUL