EGYPTIAN GOLD FACE & BODY OIL
Category : WAUZAJI
Oil inayo ngarisha Mara tatu Ina whitening , lightening ina brighening 🩸inangarisha haswaa 🩸 inaondoa madoa mwilini na usoni 🩸inaonfoa wekundu usoni 🩸inaondoa weusi mwilini na usoni Hii oil ni face and body inapakwa kwanzia kwenye uso