SABABU ZA FANGASI SUGU NA TIBA YAKE
Category : Health & Medical
Nini Kinapelekea Upate Fangasi Sugu Pamoja na matumizi makubwa ya lishe yenye sukari na wanga iliyokobolewa hapa chini ni sababu zingine zinazopelekea upate fangasi sugu. 1.Matumizi ya Muda Mrefu ya Antibiotics Antibiotics ni dawa muhimu zinazotumika kuua bakt