MADHARA NA VISABABISHI VYA P.I.D(Pelvis inflammatory Disease)
Category : Health & Medical
🌹NINI MAANA YA PID, CHANZO, DALILI NA TIBA YA PID. PID Ni kifupi Cha maneno ya kiingereza Pelvic Inflammatory Disease ( PID). P.I.D Ni maambukizi ya Bacteria katika via vya Uzazi (KUTOKWA NA UCHAFU WENYE HALUFU KALI) *Chanzo Cha PID* Wanawake wengi husumbul