wauzaji wa furniture aina zote
Category : Furniture & HouseHold
Tafadhali soma maelezo vizuri. Tunatengeneza kwa order maalumu. Pia tunafanya repair ya fenicha aina zote. Hata zile zilizochakaa. Kwa maelezo zaidi piga simu/whatsapp 0785476006
nauza kitanda Na kabati la nyumban i
Category : Furniture & HouseHold
Bedroom set tayari. Kitanda 5×6, kabati milango mitatu dressing table na side stools kwa ajili ya breakfast. Karibu ofisini magomeni mikumi. Pia tunatengeneza kwa order maalumu kama utahitaji design yoyote. Kwa maelezo zaidi piga simu direct 0785476006