Plastic Sheets Available.
Category : Building & construction
Mbao za plastiki Haziozi, haziliwi na mchwa ni nafau na rafiki wa mazingira. Karibu tukuhudumie. (Pia inaweza kutumika kua kama mbadala wa pavings) Ofisi zetu zipo wazi, Jumatatu hadi Jumamosi saa 2:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni. Tegeta kwa Ndevu, Jengo la G