On call For Sale
Ad Details
-
Ad ID: 18550
-
Added: 19th October 2024
-
Sale Price: On call
-
Location: Tanzania
-
State: Kilimanjaro Region
-
Phone: 0716394057
-
Views: 38
Description
samara Coconut herbal butter
ni mafuta ya nazi yenye mchanganyiko wa miti shamba kwa ajili ya nywele na ngozi
huondoa mba ,chawa,na mattizo yote ya ngozi,
ni kwa ajili ya watoto na watu wazima
400 grams
tsh 7000 tu
coconut and mango Butter
mafuta mazuri ya nywele na ngozi
yanalainisha sana ngozi na nywele
yanafaa kwa watoto na watu wazima wote
300 grams
tsh 5000 tu
Samara Coconut hair wax,
Mafuta ya nazi yenye mafuta ya nduzi
haya ni mafuta mazuri sana kwa nywele, yanafanya nywele zinyooke,na kulainika.mno
150 grams
Tsh 2500 tu
samara avocado and coconut Butter,haya ni mafuta mchangangiko wa parachichi na na,I,ni mazuri mno kulaina kukuza nywele,na kupendezesha ngozi yako,na kuongeza madini chuma kwa ngozi
200 grams
tsh 4000 tu
Samara coconut body butter: haya ni mafuta ya nazi.mgando,haya yana faida nyingi.mwilini ikiwemo kuondoa vipele,kungarisha ngozi,kupendezesha ngozj
yanapatika a kwa ujazo wa
120 grams tsh 2000
300 grams kwa tsg 5000 tu
: coconut oil
mafuta ya nazi ya maji
hayajachemshwa
yamekamuliwq na ganda lake la kahawia kuleta virutubisho kwa ngozi yako,inafufua ngozi iliyoumizwa na kemikali
ni mazuri.mno kwa watu wote
hayana kemikali yeyote
unaweza kupikia pia
50 ml tsh 1000
120 ml tsh 2000
250 ml tsh 4000
500 ml tsh 7500
I litre tsh 14000
: Kwa kilimanjaro yanapatikana
Mwanga kwa Biasha
0658 690 691
Moshi mjini..Magereza pharmacy
Moshi mjini,Mimosa karibu na halmashauri ya manispaa ya moshi
Duka na 17
Marangu kwa Anaseli,karibu ya Marangu Sekondari 0716 394057
Bids
BID Stats : 0 Bids posted on this ad
Let’s Create Your Bid
Only registered user can post offer *
Ad Price
On call