SOKO LA MTANDAO TANZANIA Jisajili na kuweka Matangazo BURE MILELE! 0677775000
classiera loader

Ad Details

  • Ad ID: 16232

  • Added: 5th January 2023

  • Sale Price: TZS1

  • Location: Tanzania

  • State: Arusha Region

  • Phone: +255684450076

  • Views: 198

Description

Nini Kinapelekea Upate Fangasi Sugu

Pamoja na matumizi makubwa ya lishe yenye sukari na wanga iliyokobolewa hapa chini ni sababu zingine zinazopelekea upate fangasi sugu.

1.Matumizi ya Muda Mrefu ya Antibiotics

Antibiotics ni dawa muhimu zinazotumika kuua bakteria wabaya kwenye mwili wako. Japo lengo linaweza kuwa ni zuri lakini shida ni kwamba antibiotics haziui bakteria wabaya pekee bali hata wale wazuri ambao ni kinga dhidi ya fangasi.
Matumizi ya muda mrefu hupelekea mwili kuwa sugu na kutosikia uwepo wa antibiotics na hivo kufanya mazingira mazuri ya fangasi kumea.

2.Vidonge vya Kupanga Uzazi
Wanawake wanaotumia vidonge vya kupanga uzazi wanakuwa kwenye hatari kubwa ya kupata fangasi sugu.
Hii ni kutokana na kuvurugika kwa mazingira ya kawaida ya homoni.

3.Dawa za asthma
Wagonjwa wanaotumia dawa za pumu kwa kutumia kifaa cha mdomono(inhaler) wanakuwa kwenye hatari kubwa ya kupata fangasi sugu mdomoni.
Hakikisha unafata maelekezo ya kusafisha mdomo kila baada ya kutumia kifaa hichi. Kama umeanza kupata dalili za fangasi mdomoni unaweza kusafisha mdomo wako kwa kutumia mafuta ya nazi.
Tumia pia kirutubisho cha yunzhi kuimarisha kinga na kupunguza dalili mbaya za pumu.

4.Dawa za Kutibu Saratani
Tafiti zinaonesha kwamba kwa wagonjwa wa saratani, fangasi inaweza kusambaa haraka zaidi na kuleta madhara.
Hii ni kutokana na tiba ya mionzi(radiotherapy) na dawa(chemotherapy) anayotumia mgonjwa wa saratani.
Tiba hizi hupunguza kinga ya mwili na kupelekea fangasi wa candida kusambaa.

Wagonjwa wa saratani wanashauriwa kutumia Vidonge vya ginseng na ganoderma ili kuzuia kukua kwa seli za saratani na kuimarisha kinga.

5.Kisukari (Diabetes)
Sukari na mwili wenye tindikali inachochea ukuaji wa fangasi.
Wagonjwa wa kisukari wapo kwenye hatari zaidi ya kupata fangasi sugu kutokana na mwili kushindwa kurekebisha kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu.
Tunashauri wagonjwa wa sukari kutumia majani ya chai ya basalm na vidonge vya chitosan ili kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuimarisha afya zao.

6.Kuzorota kwa Kinga ya Mwili.
Watu wenye kinga dhaifu ni rahisi zaidi kuugua fangasi sugu. Makundi ya watu hawa ni pamoja na watoto, wazeee, na wenye ugonjwa wa ukimwi na TB na saratani ama wanaopata matibabu ya mionzi huwa kwenye hatari kubwa ya kuumwa fangasi ya Candida

Lipo suruhisho LA kudumu kutibu fangasi sugu kuanzia kwenye chanzo cha tatizo nipigie simu nikushauri tiba 0684450076

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

TZS1

classiera loader

Related ads

LIST YOUR BUSINESS TODAY!!