SOKO LA MTANDAO TANZANIA Jisajili na kuweka Matangazo BURE MILELE! 0677775000
classiera loader

Ad Details

  • Ad ID: 6854

  • Added: 16th December 2018

  • Sale Price: 10,000/maelewano yapo

  • Location: Tanzania

  • State: Dar es Salaam Region

  • Phone: 0757589088

  • Views: 3222

Description

Karibuni nguo za kike za mtumba grade A , kwa bei rafiki kabisa. kwa mahitaji ya nguo kwa ajili ya biashara(jumla) karibuni sana.
JUMLA NA REJAREJA.
Nguo tunazo uza ni pamoja na; croptops, gauni ndefu na fupi, jumpsuits,playsuits, bwanga, off shoulder, vimodo, na mitindo yote mipya.
Tucheki tukutumie picha nyingi zaidi.
Bei zetu ni Tsh. 10,000/= rejareja. Kwa mteja wa jumla bei itakuwa chini zaidi ili akapate faida nzuri!!!!!
TUNAMPELEKEA MTEJA ALIPO KWA DAR !!! Mikoani tunatuma kwa garama za mteja.
TUPO MBEZI YA KIMARA KARIBUNI SANA.
Whatsapp/call 0757589088

Tags :

Bids

BID Stats : 0  Bids posted on this ad

Let’s Create Your Bid

Only registered user can post offer *

Ad Price

10,000/maelewano yapo

classiera loader

Related ads

LIST YOUR BUSINESS TODAY!!