Ad Details
-
Ad ID: 13674
-
Added: 9th May 2021
-
Sale Price: 3,000
-
Location: Tanzania
-
State: Dar es Salaam Region
-
Phone: 0677775000
-
Views: 562
Description
MAANDAZI YA KUOKA)
°unga wa ngano nusu
°Siagi au blueband vijiko 2 vya mchuzi
°Vanilla au hiliki ya unga kijiko 1 cha chai
°Hamira ya chenga kijiko 1 chai
°Chumvi 1/4 kijiko chai
°Sukari kijiko cha mchuzi 1 1/4
°Maji ya uvugu vugu kukandia au tui la nazi au maziwa
KUANDAA NA NA KUOKA
1 :Tia unga katika beseni kisha tia hamira, chumvi, sukari, vanilla, na siagi kisha changanya unga wako vizuri.
2 : Baada ya hapo tia maji kidogo kidogo na anza kukanda unga wako kanda kwa dakika 3 ila usiulainishe saana.
3 :Acha Kwa dakika kadhaa kisha kata na acha tena kidogo. ..paka mafuta katika chombo cha bati kisha panga maandazi yako na kisha paka tena mafuta juu ya maandazi na tia katika oven au jiko la mkaa kwa muda mchache maandazi yako yatakua tayari kuliwa.
NB:
-uandaaji wake ni vilevile kama maandazi ya kawaida ya mafuta tofauti yake haya unayaoka tu.
-kwenye kukata usifanye membamba sana kwani yakipoa yatakuwa magumu, hivyo ukate manene kiasi ili yawe laini
-kama huna oven unapikia jiko la mkaa.
Bids
BID Stats : 0 Bids posted on this ad
Let’s Create Your Bid
Only registered user can post offer *
Ad Price
3,000