3,000 For Sale
Ad Details
-
Ad ID: 13695
-
Added: 9th May 2021
-
Sale Price: 3,000
-
Location: Tanzania
-
State: NunuaUza.com
-
Phone: 0677775000
-
Views: 655
Description
JINSI YA KUTENGENEZA ICE CREAM (ULE UJI WA JUU 🍦): MAHITAJI: 1⃣Icing sugar vijiko 10 vya chakula. 2⃣Viini vya mayai 3. 3⃣Ladha yoyote kijiko 1 cha chakula. 4⃣Maziwa nusu lita (fresh milk). 5⃣Cream robo Lita. 👉JINSI YA KUTAYARISHA:- CHUKUA BAKULI, CHANGANYA ICING SUGAR NA VIINI VYA MAYAI KISHA KOROGA. HAKIKISHA VIMECHANGANYIKA VIZURI. CHUKUA MAZIWA CHANGANYA NA LADHA CHEMSHA YACHEMKE KWA DAKIKA 5, KISHA YAEPUE YAACHE YAPOE. YAKISHAPOA, CHANGANYA MKOROGO NAMBA 1 NA NAMBA 2 KISHA KOROGA KWA DAKIKA 2. UKISHAKOROGA BANDIKA JIKONI KWENYE MOTO WA WASTANI NA KOROGA USIRUHUSU UCHEMKE. KOROGA KWA DAKIKA 3 KISHA EPUA, UACHE UPOE. 🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦ICE CREAM HIZI TUNAWEZA KUWEKA KWENYE PACKAGE MAALUM YA ICE CREAM. PACKAGE NI BISCUIT ZA KONI. (ZIPO SUPER MARKET). ELFU TANO 5,000 UTAPATA VIBISCUIT 50 HIVI. (ICE CREAM HIZI NI TAMU SANA NA LAINI). 🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦🍦
Bids
BID Stats : 0 Bids posted on this ad
Let’s Create Your Bid
Only registered user can post offer *
Ad Price
3,000