3,000 For Sale
Ad Details
-
Ad ID: 13687
-
Added: 9th May 2021
-
Sale Price: 3,000
-
Location: Tanzania
-
State: NunuaUza.com
-
Phone: 0677775000
-
Views: 660
Description
JINSI YA KUTENGENEZA CRIPS ZA VIAZI AU NDIZI
mahitaji
1.VIAZI MBATATA KIASI
2.CHUMVI
3.MAFUTA YAKUPIKIA YA MAJI
4.KIPARUZIO CHA KAROTI
NAMNA YA KUPIKA
Menya viazi vyako kisha vioshe vizuri hakikisha huviachi na majimaji. Kwaruza kwa kutumia mashine.
Vianike kidogo viwe vikavu. Bandika kikaangio jikoni weka mafuta mengi yakutosha (yakiwa kidogo zitaungua chini) yaache yapate moto kisha weka viazi vyako ulivyo katakata.
Baada ya mda geuza ili visishikane wacha viive vizuri ipua nyunyiza chumvi. Wacha vipoe tayari kwa kuliwa au kuuza.
waweza tumia njia hii kutengeneza crips za magimbi viaz vitam mihogo na ndizi.
Bids
BID Stats : 0 Bids posted on this ad
Let’s Create Your Bid
Only registered user can post offer *
Ad Price
3,000