DEUS FURNITURE- HOME-OFFICE-OUT DOOR
: Furniture & HouseHoldWAUZAJI / WAUZAJI WA SAMANI : Dar es Salaam Region
on call For Sale
Ad Details
-
Ad ID: 16478
-
Added: 11th May 2023
-
Sale Price: on call
-
Location: Tanzania
-
State: Dar es Salaam Region
-
Phone: 0627620989
-
Views: 174
Video
Description
DEUS FURNITURE- HOME-OFFICE-OUT DOOR Furniture.
Naitwa Deus; Natengeneza Furniture
Aina Zote Pamoja na vitanda vya rattan natengeneza mwenyewe nipo majohe gongo la mboto; kwa BEI ZA KIZALENDO.
Tunatengeneza thamani za aina zote. Zipo zilizo tayari na pia unaweza kuweka Order ya design uipendayo.
Ukitaka tupige rangi unayopenda au finishing tu ya polish.
Pia tuna Rekebisha zilizochakaa nakuzifanya ziwe mpya tena!!
Location; majohe Bwela gongo la mboto
Namba zangu ni 0627620989 na 0753718558 Wasiliana nasi kwa MAULIZO NA MAELEZO ZAIDI.
unaweza kulipa kidogo kidogo.
Karibuni sana
##### DEUS FURNITURE#####
Bids
BID Stats : 0 Bids posted on this ad
Let’s Create Your Bid
Only registered user can post offer *
Ad Price
on call