Ad Details
-
Ad ID: 13677
-
Added: 9th May 2021
-
Sale Price: 3,000
-
Location: Tanzania
-
State: Arusha Region
-
Phone: 0677775000
-
Views: 412
Description
CHIPS ZA ASALI NA PILIPILI
🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻
MAHITAJI
🌻🌻VIAZI
🌻🌻ASALI
🌻🌻KITUNGUU SWAUM
🌻🌻TANGAWIZI
🌻🌻SOYA SAUSE
🌻🌻TOMATO PASTE
🌻🌻HOISIN SAUSE
🌻🌻CHUMVI
🌻🌻CORN FLOUR
🌻🌻HOHO
🌻🌻CARROT
🌻🌻MAJANI YA KITUNGUU MAJI
🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻
JINSI YA KUANDAA
chukua viazi menya kisha weka chumvi,na corn flour alafu changanya vizuri baada ya hapo tenga flampeni weka mafuta alafu weka kitunguu swaum na tangawizi kaanga kisha weka hoho changanya baada ya hapo weka majani ya kitunguu maji soya sause,hoisin sause, asali na tomato kisha changanya vizuri kisha weka chips ulizokaanga changanya mbaia zikauke na utaipua tyr kuliwa
Bids
BID Stats : 0 Bids posted on this ad
Let’s Create Your Bid
Only registered user can post offer *
Ad Price
3,000