Ad Details
-
Ad ID: 13681
-
Added: 9th May 2021
-
Sale Price: 3,000
-
Location: Tanzania
-
State: NunuaUza.com
-
Phone: 0677775000
-
Views: 432
Description
Chicken masala🥕🥕🥕🥕🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱 Mahitaji 👇🏼🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒 kuku, Kitunguu saumu,mafuta ya kupikia chumvi, mdalasini,iliki,nyanya,tomato paste , Giligilani,limao,bay leaves, tangawizi,karafuu,star anise,iliki, binzari ya manjano,garam masala, coriander powder , chicken powder, pilipili Hoho na Carrots na pilipili kichaa moja🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒Namna ya kutayarisha kwanza utammarinate kuku wako ukishamuosha vizuri utamuweka Kitunguu saumu, tangawizi mafuta ya kupikia kiasi Chumvi na limao baada ya hapo utamchanganya vizuri na utamuweka kwenye chombo kisichotoa hewa ndani ya masaa manne yakipita kaanga vipande vya kuku wako Kisha Tenga mafuta ya kupikia kiasi Weka Kitunguu maji , Kitunguu saumu na tangawizi binzari zote pamoja na nyanya Hoho carrots na Pilipili acha ziive Weka masala ya njano na ya kuku Kisha Muweke kuku wako na muache aive tayari kuliwa 🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱 enjoy prepared by madam Catherine 🥕🥕🥕🥕🥕🥕🥕🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒
Bids
BID Stats : 0 Bids posted on this ad
Let’s Create Your Bid
Only registered user can post offer *
Ad Price
3,000