Category :
Furniture & HouseHold
Nauza vitu vyangu vya ndani, Kabati la vyombo la mbao 150, Sofa ziko mbili la watatu na wawili yote 150, Godoro dodoma halina cover ila liko vizuri tu ukubwa ni 4.5/6 nauza 50, Frigi la futi 5 bei 175, Na kitanda kipo ila sio kizima sana ni 5/6 nataka 50 tu Ma