Category :
Fashion & life style
Karibuni nguo za kike za mtumba grade A , kwa bei rafiki kabisa. kwa mahitaji ya nguo kwa ajili ya biashara(jumla) karibuni sana. JUMLA NA REJAREJA. Nguo tunazo uza ni pamoja na; croptops, gauni ndefu na fupi, jumpsuits,playsuits, bwanga, off shoulder, vimodo,