SOKO LA MTANDAO TANZANIA Jisajili na kuweka Matangazo BURE MILELE! 0677775000
Support: tanzaniaonlinemarket@gmail.com 0677775000
Follow us:
Member Since 6th February 2024
Total ads: 6 Ads Posted
Category : Building & construction
kwaaajili ya uzio wa eneo la bustani, shamba nk. *Haziozi *Haziliwi na mchwa *Ni bei nafuu *Ni rafiki kwa Mazingira
Mbao za plastiki Haziozi, haziliwi na mchwa ni nafau na rafiki wa mazingira. Karibu tukuhudumie. (Pia inaweza kutumika kua kama mbadala wa pavings) Ofisi zetu zipo wazi, Jumatatu hadi Jumamosi saa 2:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni. Tegeta kwa Ndevu, Jengo la G
PALLETS ZA MIZIGO ZA PLASTIKI PALLETS ZA KUWEKEA MIZIGO KIWANDANI / STOO AMA GODOWN. Leo tumekutegenezea palletes za mbao za plastiki zinazotokana na taka za plastiki, zenye formula maalum ya kuhimili uzito wa mpaka tani tatu, hazivunjiki, haziliwi na mchwa na
Black Plastic sheet. Trech cover, Wall panel, Floor Cover, Furniture Making. haziozi, haziliwi na mchwa, ni bei nafuu na rafiki kwa mazingira.
Mbao pembe nne za plastiki zinafaa nje na maeneo ya majimaji (unyevu nyevu) maana haziozi, haziliwi na mchwa na bei yake ni nafuu na rafiki wa mazingira.
can be constructed in Decking, Flooring, Furniture making, Pergola Construction, Bridges and Walking Way
All copyrights reserved © 2015 to 2024 - Design & Development by NunuaUza.com