KiriKuu inauzwa Mwanza Hijet Nzima kabisa
Category : Cars & Automotives
Inauzwa KillKuu Diahatsu Hijet , nzima kabisa na safi iko kazini/inafanya kazi Mwanza, imeboreshwa sana, bei nafuu karibu na bure ! ( Mill. 4.8 ). Tatizo mmiliki yuko mbali usimamizi unasumbiua. Simu 0737496565 sms au 0789077211 whatsApp. Nb, Niko bize kiasi,