SABABU ZA FANGASI SUGU NA TIBA YAKE
Category : Health & Medical
Nini Kinapelekea Upate Fangasi Sugu Pamoja na matumizi makubwa ya lishe yenye sukari na wanga iliyokobolewa hapa chini ni sababu zingine zinazopelekea upate fangasi sugu. 1.Matumizi ya Muda Mrefu ya Antibiotics Antibiotics ni dawa muhimu zinazotumika kuua bakt
MADHARA NA VISABABISHI VYA P.I.D(Pelvis inflammatory Disease)
Category : Health & Medical
🌹NINI MAANA YA PID, CHANZO, DALILI NA TIBA YA PID. PID Ni kifupi Cha maneno ya kiingereza Pelvic Inflammatory Disease ( PID). P.I.D Ni maambukizi ya Bacteria katika via vya Uzazi (KUTOKWA NA UCHAFU WENYE HALUFU KALI) *Chanzo Cha PID* Wanawake wengi husumbul
Matibabu ya Tezi Dume
Category : Health & Medical
Tezidumenini✍🏻 IJUE TEZI DUME NI NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE BILA UPASUAJI Tezi dume ni moja ya tezi ya uzazi ya kiume ambayo kila mwanaume anayo, tezi hii lipo chini ya kibofu cha mkojo na inazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uu
Matibabu ya Bawasiri
Category : Health & Medical
*UGONJWA WA BAWASILI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE* Bawasiri ni niniHuu ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama amcho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/Hemorrhoid nk SABABU YA BAWASIRI Sababu kub
Moyo Kutanuka Chanzo, Dalili na Tiba
Category : Health & Medical
*Nini Maana Ya Moyo Kutanuka?* Moyo kutanuka kwa kitaalamu cardiomegally, maana yake moyo wako umekuwa mkubwa kupita kiwango cha kawaida. Moyo unatanuka pale misuli yake inapofanya kazi kupita kiasi mpaka inapanuka na kufanya chemba za moyo nazo kutanuka. Kumb
MUDA WA KUFIKA KILELENI MWANAUME
Category : Health & Medical
*Kufika Kileleni Mapema: Takwimu & Sababu Zake* Tendo la ndoa linapaswa kudumu kwa dakika ngapi? Hili ni swali maarufu sana mtaani ambalo pengine hata wewe umewahi kujiuliza. Kwa mujibu wa utafiti, muda wa kawaida wa kushiriki tendo la ndoa ni dakika 7-13.