TUNATENGENEZA KOMPYUTA NA SIMU, PIA TUNAUZA VIFAA VYA KOMPYUTA NA SIMU.
Category : Information Technology (IT)
Matatizo yafuatayo yamekuwa Changamoto kwenye Kompyuta na Simu, nasi CATAUX COMPUTERS tumejidhatiti vya kutosha kuhakikisha matatizo hayo yanatatutiwa. JE UNAKUMBWA NA MOJAWAPO KATI YA HATA?? 1. Kuzima ghafla kwa Kompyuta/Simu yako, hili ni tatizo ambalo hasa