Ad Details
-
Ad ID: 17433
-
Added: 12th September 2023
-
Location: Tanzania
-
State: Dar es Salaam Region
-
Phone: 0757830016
-
Views: 156
Video
Description
Tupo Toangoma Temeke..
Mkaa wetu ni Mkaa mbadara uliotengenezwa kwa kutumia vumbi la makaa ya mawe na kuondolewa sumu( hewa chafu)
Mkaa huu unatengenezwa na shirika la madini la Taifa (STAMICO) ni salama kwa matumizi ya kupikia majumbani na kwenye Taasisi zenye uitaji wa Nidhati ya kupikia.Matumizi ya mkaa huu ni kutekereza kwa vitengo Juhudi za uifadhi mazingira kwa kutumia Nishati mbadara ambayo haihusishi ukataji wa miti
+255757830016 Tupigie au andika meseji wakati wowote.
Mikoani tunatuma kwa garama za mteja.
Bids
BID Stats : 0 Bids posted on this ad
Let’s Create Your Bid
Only registered user can post offer *
Ad Price