Moyo Kutanuka Chanzo, Dalili na Tiba
: Health & Medical / Traditional Clinics : Dar es Salaam Region
TZS1 FREE
Ad Details
-
Ad ID: 16201
-
Added: 29th December 2022
-
Sale Price: TZS1
-
Location: Tanzania
-
State: Dar es Salaam Region
-
Phone: +255684450076
-
Views: 205
Description
*Nini Maana Ya Moyo Kutanuka?*
Moyo kutanuka kwa kitaalamu cardiomegally,
maana yake moyo wako umekuwa mkubwa kupita kiwango cha kawaida.
Moyo unatanuka pale misuli yake inapofanya kazi kupita kiasi mpaka inapanuka na kufanya chemba za moyo nazo kutanuka.
Kumbuka moyo kutanuka siyo ugonjwa.
Ni dalili ya ugonjwa fulani wa moyo unaopelekea mpaka moyo ufanye kazi kupita kiasi ya kupump damu.
Magonjwa haya yanweza kuwa kupanda kwa presha ya damu na pia matatizo ya valve za kwenye moyo.
Moyo uliotanuka hauwezi kusambaza damu vizuri kwenye maeneo mbalimbali ya mwili ukilinganisha na moyo mzima.
Kitendo hichi kinakuweka kwenye hatari ya kupata kiharusi na hata moyo kufeli.
*Ni Kipi Chanzo Cha Moyo Kutanuka?*
Chanzo kikubwa cha moyo kupump damu kwa nguvu na hatimaye kutanuka ni kuziba kwa mishipa ya damu.
Mishipa ya damu inaziba kwa kujikusanya kwa mafuta mabaya.
Kuziba huku kwa mishipa kunapelekea misuli ya moyo itumie nguvu nguvu kusukuma damu, na hatimaye shinikizo la damu kupanda.
Kuna vihatarishi vingine kama
maambukizi ya virusi kwenye moyo
ukuaji wa valve za moyo usio wa kawaida
mimba, hasa wakati wa kujifungua
magonjwa ya figo
matumizi makubwa
ya pombe na dawa za kulevya
maambukizi ya virusi vya Ukimwi
matatizo ya kurithi
matatizo ya tezi ya shingoni (thyroid)
Shambulizi la moyo
Wakati wa shambulizi la moyo, sehemu kadhaa za moyo hazipati hewa ya kutosha ya oxygen na hivo kuathiri misuli ya moyo.
Mabadiliko ya mapigo ya moyo mara kwa mara na kupelekea damu kurudi kwenye moyo na kuathiri misuli
Upungufu wa damu
*Dalili Za Moyo Kutanuka?*
Wakati mwingine tatizo la moyo kutanuka linaweza lioneshe dalili zozote linakutafuna taratibu bila hata ya wewe kujua.
Dalili zikianza kujionyesha ni hizi hapa
1.kushindwa kupumua vizuri
2.mabadaliko ya mapigo ya moyo
3.kuvimba kwa miguu na vifungo vya miguu kutokana na kujaa maji
4.mwili kukosa nguvu na kizunguzungu
5.maumivu ya kifua
6.maumivu kwenye mikono, mgongo au shingo na kupoteza fahamu
Uonapo dalili hizo akikisha unawasiliana nami nikushauri kabla makubwa hayaja tokea.
0684450076
Bids
BID Stats : 0 Bids posted on this ad
Let’s Create Your Bid
Only registered user can post offer *
Ad Price
TZS1