SOKO LA MTANDAO TANZANIA Jisajili na kuweka Matangazo BURE MILELE! 0677775000
Support: tanzaniaonlinemarket@gmail.com 0677775000
Follow us:
Total ads: 3198 ads posted
Category : NAMNA YA KUPIKA
SUPU YAPWEZA Vipimo Pweza – 1 Kilo Chumvi – 1 kijiko cha chai Tangawizi mbichi iliyosagwa – 1 kijiko cha chai Kitunguu saumu (thomu/galic) iliyosagwa – 1 kijiko cha chai Masala ukipenda – 1 kijiko
KEKI/MKATE WA SEMBE (CORN BREAD) Mahitaji: *Unga wa sembe glass 1 *Unga wa ngano glass 1 *Mayai 4 *Maziwa fresh/ tui la nazi glass 1 *Sukari glass 1 *Mafuta nusu glass *Baking powder vijiko 2 vya chakula JINSI YA KUPIKA. 1.Vunja mayai uchanganye na sukari,uchu
JINSI YA KUTENGENEZA CRIPS ZA VIAZI AU NDIZI mahitaji 1.VIAZI MBATATA KIASI 2.CHUMVI 3.MAFUTA YAKUPIKIA YA MAJI 4.KIPARUZIO CHA KAROTI NAMNA YA KUPIKA Menya viazi vyako kisha vioshe vizuri hakikisha huviachi na majimaji. Kwaruza kwa kutumia mashine. Vianike ki
JINSI YA KUTENGENEZA KACHORI ZA VIAZI ðŸ“MAHITAJI âž–Viazi (kilo Moja) âž–Kitunguu saumu(thomu) kijiko 1 Cha chakula âž– Tangawizi Kijiko 1 cha chakula âž–Chumvi ( kijiko kimoja Cha chakula) âž–Pilipili ya kusaga âž–Ndimu 1 âž–Mafuta ya kupikia âž–Unga wa den
JINSI YA KUANDAA NA KUPIKA BAGIA NYUMBANI. Vipimo Kunde za kupaaza – 1 ½ Vikombe Vitungu vya kijani iliyokatwa katwa – ½ Kikombe Baking soda – ¼ Kijiko cha chai *Bizari mchanganyiko – 1 Kijiko cha chai Maziwa – 2 Vijiko vya sup
Chicken masala🥕🥕🥕🥕🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱 Mahitaji 👇ðŸ¼ðŸ’ðŸ’ðŸ’ðŸ’ðŸ’ðŸ’ðŸ’💠kuku, Kitunguu saumu,mafuta ya kupikia chumvi, mdalasini,iliki,nyanya,tomato paste , Giligilani,limao,bay leaves, tangawizi,karafuu
MAHARAGE YA NAZI YA BINZARI YA MANJANO ☘ï¸â˜˜ï¸â˜˜ï¸â˜˜ï¸â˜˜ï¸â˜˜ï¸â˜˜ï¸â˜˜ï¸â˜˜ï¸â˜˜ï¸â˜˜ï¸â˜˜ï¸â˜˜ï¸â˜˜ï¸â˜˜ï¸â˜˜ï¸â˜˜ï¸â˜˜ï¸ MAHITAJI ☘ï¸â˜˜ï¸NYANYA ☘ï¸â˜˜ï¸BINZARI YA MANJANO ☘ï¸â˜˜ï¸NAZI ☘ï¸â˜˜ï¸MAHARAGE ☘ï¸â˜˜ï¸CUR
CHIPS ZA ASALI NA PILIPILI 🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻 MAHITAJI 🌻🌻VIAZI 🌻🌻ASALI 🌻🌻KITUNGUU SWAUM 🌻🌻TANGAWIZI 🌻🌻SOYA SAUSE 🌻🌻TOMATO PASTE 🌻🌻HOISIN SAUSE 🌻🌻CHUMVI 🌻ðŸ
MAANDAZI YA KUOKA) °unga wa ngano nusu °Siagi au blueband vijiko 2 vya mchuzi °Vanilla au hiliki ya unga kijiko 1 cha chai °Hamira ya chenga kijiko 1 chai °Chumvi 1/4 kijiko chai °Sukari kijiko cha mchuzi 1 1/4 °Maji ya uvugu vugu kukandia au tui la naz
All copyrights reserved © 2015 to 2024 - Design & Development by NunuaUza.com